Adobe imejitokeza kua kampuni iliyoshika hatamu katika sekta ya 2D graphics-walio wengi katik yetu-ukiwatajia "Adobe" wanadhani ni "Photoshop" au "Adobe Reader", but ukweli ni kwamba, adobe ni shirika liliotengeneza program nyingi za designing-ikiwemo "Flash" hii kwangu mimi ni Software ambayo ziwezi kuikosa katika my Home Computer and my Animation Studio's computers--kwa kweli ni more powerful hasa hizi za CS Series-mimi niko na CS3 Pofessional--Achana nayo--Wewe unasemaje kuhusu hili au ipo ambayo unahisi ni bora kwako?
Mimi binafsi huwa naitumia Adobe Flash katika cartooning zaidi-Wiki iliopita nilifungua "Animation Studio" ikiwa na wafanyakazi 10 ambao nimewasomesha Adobe Flash in 2 Weeks-na kwa sasa tunaitumia pamoja kutengeneza filamu moja ya katuni za kiswahili kama ni test ya skill yao-kabla hatuaanza na serious project--sisi tunaifadi sana katika kuaanda michoro ya katuni hao: unaweza kucheki website yetu kuona baadhi ya kazi tulizoweka online week ya mwanzo: Hermitscorp Laboratory na punde tutaweka badhi ya vipande vya filamu hiyo.Thanks for idea.Kaka Unajua watanzania wengi ni wanyonge wa ICT kwa ujumla wake, umeipa sifa nyingi sana Adobe CS3 Professional hasa "Flash" unachopaswa kutujuza hapa kaka ni namna ulivyofaidika nayo na pengine kutupa somo inatumikaje na manufaa yake na pengine hata ku-attach projects ambazo umeifanyia kazi.
Nashukuru kwa Nia yako njema kaka!!!
adobe imejitokeza kua kampuni iliyoshika hatamu katika sekta ya 2d graphics-walio wengi katik yetu-ukiwatajia "adobe" wanadhani ni "photoshop" au "adobe reader", but ukweli ni kwamba, adobe ni shirika liliotengeneza program nyingi za designing-ikiwemo "flash" hii kwangu mimi ni software ambayo ziwezi kuikosa katika my home computer and my animation studio's computers--kwa kweli ni more powerful hasa hizi za cs series-mimi niko na cs3 pofessional--achana nayo--wewe unasemaje kuhusu hili au ipo ambayo unahisi ni bora kwako?
CS3 ishapitwa na wakati. Dowload Trial version ya CS5 Adobe - Downloads then nitakuweka file la ku crack hapamkuu naomba basi hicyo cs3 namimi unipe?
Mwalimu sidhani kama unaweza kukosa hizo keys na activation code katika link hii: ASTALAVISTA.BOX.SKMkuu mie nafurahi kwa kuisifia hiyo adobe flash CS3 professional. Mie nilidownload na kupata key humu mtandaoni, nimeinstall na key inaonyesha ni sawa ila inanitaka niactivate, na nikiactivate inaniambia unsuccessful activation error code 194:8 inanipa option ya kuactivate kwa phone. Sasa sijui nifanyeje maana naihitaji sana kwa ajili ya kutengeneza animation za kufundishia wanafunzi, japo sina utaalamu nilitegemea kujifunza mwenyewe. Pia kama una key za Corel Draw Sutes Graphics Suite X4 or X5 naomba msaada wako maana nimtafuta kwenye net sijapata. Natanguliza shukrani kwa wana JF wote.
@Givenality Kwa kweli Flash inatumika sehemu nyingi-kwa nyule anaetaka nimuelekeze katika field ninayoifanyia kazi mimi(Cartoon drawing)-Email Me (Not MP)
@Mtazamaji Thanks mkuu kwa link--CS5 ni bomba zaidi lakini kwa PC zangu nadhani ni sawa na kumbebesha punda kontena-friend wangu anayo C4-na ipo katika blueray disk--Kama 6GB ivi-nimemuachia mwenyewe mimi sina ninachokifuata katika c4 kwa sasa-pia PC yenyewe ndio ivyo
Ndio Mkuu-just draw your avatar, then break him apart use transform tool to change arms or mouth position while you create new frame for each pose then export it to gif file--But hii ni short (Nimechukulia kama ni mtumiaji wa katinakati wa Flash)--Kama bado sijaelewe-Nambieni niweke ajilesani kidogo hapa.Yah hata mm niliona niliistal CS5 inakula memory na kufanya PC iwe nzito yaani PC PC ilikuwa inasinzia. Ure very right nikimalizaga kujifunza na i unisntall
BTN
Ebu nipe darasa kidogo kuhusu flash .Je kutumia hiyo flash unaweza kutengeza au kuprogram animated avatar au similies