We imekufa kweli wakati softwere hiyo mimi nikiweka buku tu nikilala asubuhi nimeshaipata ya wizi , ishirini si bora nile kitimoto na mama facebook pale tunapokutana

Kuna watu vimbelembele tu. Hizi Software mbona zinauzwa hata kariakoo?! kama wewe unaweza download for free isiwe sababu ya kumuharibia mtu biashara yake.