Mkiambiwa mpaka reforms zifanyike hamsikii. Utaambiwa ukishapiga kura, ukae umbali wa mita 200. Na mnavyoogopa polisi, safari hii wa mikoani wameshafika Dar, watatapakaa kama nzi. Unasema umshughulikie wa kuiba kura? Iko siku mtaelewa nini maana ya NO REFORMS NO ELECTION.