Alex Hype Massachers
Member
- Feb 21, 2012
- 9
- 2
Kiungo wa Manchester united,Mwenye asili ya Albania na raia wa Belgium,Adnan Januzaj(Miaka 18) Amebakisha Miezi 8 Mkataba wake kuisha katika Klabu yake ya Manchester utd na Anatakiwa na Vilabu vya Real Madrid,Juventus na Bayern Munich.......na Jana Viongozi wa Man utd jana Mchana walikaa na Kiungo huyo Chipukizi kwa ajili ya Kujadili Mkataba Mpya wenye thamani ya Paund 60,000 kwa Wiki na Kwa Mujibu wa sheria za usajili Adnani Januzaj ana uamuzi wa kusain Pre contract na Klabu yoyote inayomuhitaji.
Mkuu mbona povu tena?Kuna Tahira mmoja wa Manne United anasema Belgium ina pigania kumpata Januzaj ili aichezee Belgium! kwa taarifa yake tu
-Belgium haijagombea kumpata januzaj
-Belgium haifahamu hata kama kuna mtu anaitwa Januzaj
-Belgium kugombea mchezaji haitatokea kwani ina wachezaji wa kumwaga kama vile Spain,Brazil.
-Januzaj anagombewa na mataifa yasiyokuwa na wachezaji kwa mfano england,Kosovo,Turkey,albania!
-Hata kama januzaj akisema hataichezea belgium,hataipunguzia kitu belgium,yeye kwa belgium ni sawa na tone la maji ya chumvi katika maji ya bahari
Belgium kuna Chadli,Witsel,Mirallas,Hazard,! Wote hao viungo wa pembeni!! Hao walotajwa hapo hakuna wa kuwekwa bench na hako katoto kalikowafunga washika mkia Sunderland!!
Ndugu yangu bado soka hulijui...unamkataa torres...torres mvivu? Mvivu anacheza timu ya taifa ya Spain?kiukweli dogo uwezo upo....kama analipwa 10000 pound kwa wiki a'fu wanataka wamwongezee ifike 30000 ni ndogo. Kuna wavivu kibao wanalamba mkwanja wa maana na hawana mchango sana kwenye timu. Mfano, Demba Ba, Fernando Torres, ni wavivu na kwa sasa wamebaki majina tu.
Kuna Tahira mmoja wa Manne United anasema Belgium ina pigania kumpata Januzaj ili aichezee Belgium! kwa taarifa yake tu
-Belgium haijagombea kumpata januzaj
-Belgium haifahamu hata kama kuna mtu anaitwa Januzaj
-Belgium kugombea mchezaji haitatokea kwani ina wachezaji wa kumwaga kama vile Spain,Brazil.
-Januzaj anagombewa na mataifa yasiyokuwa na wachezaji kwa mfano england,Kosovo,Turkey,albania!
-Hata kama januzaj akisema hataichezea belgium,hataipunguzia kitu belgium,yeye kwa belgium ni sawa na tone la maji ya chumvi katika maji ya bahari
Belgium kuna Chadli,Witsel,Mirallas,Hazard,! Wote hao viungo wa pembeni!! Hao walotajwa hapo hakuna wa kuwekwa bench na hako katoto kalikowafunga washika mkia Sunderland!!
Kawafunga Sunderland yamekuwa hayo, angewafunga Bayern Munich ingekuwaje?

Majungu sio mtaji useme ufanye utajirikee, Majungu sio biashara useme uuze ufanikiwee, Ukiwa unaoona Elimu ni basi basi basi, Basi jaribuuu Ujingaaah. (T O T )Kawafunga Sunderland yamekuwa hayo, angewafunga Bayern Munich ingekuwaje?
Kuna Tahira mmoja wa Manne United anasema Belgium ina pigania kumpata Januzaj ili aichezee Belgium! kwa taarifa yake tu
-Belgium haijagombea kumpata januzaj
-Belgium haifahamu hata kama kuna mtu anaitwa Januzaj
-Belgium kugombea mchezaji haitatokea kwani ina wachezaji wa kumwaga kama vile Spain,Brazil.
-Januzaj anagombewa na mataifa yasiyokuwa na wachezaji kwa mfano england,Kosovo,Turkey,albania!
-Hata kama januzaj akisema hataichezea belgium,hataipunguzia kitu belgium,yeye kwa belgium ni sawa na tone la maji ya chumvi katika maji ya bahari
Belgium kuna Chadli,Witsel,Mirallas,Hazard,! Wote hao viungo wa pembeni!! Hao walotajwa hapo hakuna wa kuwekwa bench na hako katoto kalikowafunga washika mkia Sunderland!!
Kuna Tahira
mmoja wa Manne United anasema Belgium ina pigania kumpata Januzaj ili
aichezee Belgium! kwa taarifa yake tu
-Belgium haijagombea kumpata januzaj
-Belgium haifahamu hata kama kuna mtu anaitwa
Januzaj
-Belgium kugombea mchezaji haitatokea kwani ina wachezaji
wa kumwaga kama vile Spain,Brazil.
-Januzaj anagombewa na mataifa yasiyokuwa na wachezaji
kwa mfano england,Kosovo,Turkey,albania!
-Hata kama januzaj akisema hataichezea
belgium,hataipunguzia kitu belgium,yeye kwa belgium ni sawa na tone la
maji ya chumvi katika maji ya bahari
Belgium kuna
Chadli,Witsel,Mirallas,Hazard,! Wote hao viungo wa pembeni!! Hao
walotajwa hapo hakuna wa kuwekwa bench na hako katoto kalikowafunga
washika mkia Sunderland!!
hoja yako imetawaliwa na UNAZI kama siyo WIVU na DHARAU kwa jinsi inavyojidhiirisha: ngoja nipite tu.Kuna Tahira mmoja wa Manne United anasema Belgium ina pigania kumpata Januzaj ili aichezee Belgium! kwa taarifa yake tu
-Belgium haijagombea kumpata januzaj
-Belgium haifahamu hata kama kuna mtu anaitwa Januzaj
-Belgium kugombea mchezaji haitatokea kwani ina wachezaji wa kumwaga kama vile Spain,Brazil.
-Januzaj anagombewa na mataifa yasiyokuwa na wachezaji kwa mfano england,Kosovo,Turkey,albania!
-Hata kama januzaj akisema hataichezea belgium,hataipunguzia kitu belgium,yeye kwa belgium ni sawa na tone la maji ya chumvi katika maji ya bahari
Belgium kuna Chadli,Witsel,Mirallas,Hazard,! Wote hao viungo wa pembeni!! Hao walotajwa hapo hakuna wa kuwekwa bench na hako katoto kalikowafunga washika mkia Sunderland!!
Usiamue kwa kudhani, mwisho wa yote unachokitetea ndicho ninachomaanisha. Hajawa bado, huend atakuwa!inaonyesha wewe umeanza kumuona dogo game ya sunderland....at least ungemuona tangu pre-season tour ungejua kwanini watu wanamzungumzia....ana potential ya kuwa mchezaji mzuri......chochote kinaweza kutokea in future....
Majungu sio mtaji useme ufanye utajirikee, Majungu sio biashara useme uuze ufanikiwee, Ukiwa unaoona Elimu ni basi basi basi, Basi jaribuuu Ujingaaah. (T O T )
sawa kaka.....kati yako na hawa..... Belgium target Adnan Januzaj for international call-up | Football News | Sky Sports tumuamini nani???jibu liko wazi.