Admission ya kimasomo nchini India

Admission ya kimasomo nchini India

Abdul mdachi

Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Habari ndugu zangu!

Tunafanya admission ya kimasomo nchini India (Bangalore university) kwa course za arts, science na biashara, kwa ngazi za diploma, degree na masters kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Wahi sasa nafasi ni chache. Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba 0712389866
 
India ni dampo la kuleta watu ambao hawatafanya kazi.
Pili ni failures wengi ndio wanakimbilia huko
 
Huo ni mtazamo wako ndugu, ila kaa ukijua wataalam weng hasa wa masuala ya afya na IT Wapo kule, kwnn wagonjwa weng wanakwenda kutibiwa hk? Cz kuna madaktari bingwa. Ni hayo 2.
 
Huo ni mtazamo wako ndugu, ila kaa ukijua wataalam weng hasa wa masuala ya afya na IT Wapo kule, kwnn wagonjwa weng wanakwenda kutibiwa hk? Cz kuna madaktari bingwa. Ni hayo 2.

kwa sababu gharama zake ni nafuu,but sio useme ndio kuna madaktari bingwa,hivi india kuna madaktari bingwa kuliko RUSSIA,UK,MAREKANI,etc,usitake kudanganya watu,huko india tunakujua vizuri,kila akiefeli anakimbilia huko
 
Huo ni mtazamo wako ndugu, ila kaa ukijua wataalam weng hasa wa masuala ya afya na IT Wapo kule, kwnn wagonjwa weng wanakwenda kutibiwa hk? Cz kuna madaktari bingwa. Ni hayo 2.

andika vizuri ndugu basi
 
Usiongee kwa kukariri bro, ktk top ten ya best hospital in the world India wk nafasi ya 4, tena vzr zaid kwny Top ten wametoa hospitali mbili.
 
Na mie pia ninaweza kukufanyia admission za kimasomo nchini India
Ambapo mie nitakusaidia vitu vifuatavyo

(1) Kukutafutia chuo bora
(2) Kukusaidia process za safari
(3) Kukupokea nchini India
(4) Kukuafutia nyumba au hostel nchini India

Ni Pm
 
Kwa hy kw kuwa ww nawe unafanya km ninachofany mm ndy maana unaniharibia sio? Sawa ndg inawezekana ukanufaika zaid ww kwa kuniharibia hongera zako.
 
Back
Top Bottom