ADMISSION LETTERS

Jazajuan

Senior Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
184
Reaction score
318
Habari za jioni wadau...
Nilikuwa nauliza kwa wale tuliochaguliwa UDSM second round kama mmepata tetesi za admission letter kutoka coz nilipoenda mara ya kwanza waliniambia majina yameenda TCU kuwa approved... yatakaporudi chuoni... na wao watayarelease... sasa muda unakwenda... afu sie wengine tunahitaji hizo barua kuombea ruhusa makazini... Tafadhali kama kuna mwenye tetesi anijulishe tafadhali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…