Wakuu umebaki siku moja kuripoti chuo lkn admission letter sijapata na nikiingia kwenye tovuti ya chuo zinapatikana za wale walochaguliwa direct toka tamisemi msaada wandugu ntaipataje?
Brother mimi niliomba kupitia nacte na selection zao walitoa 23 October but kila nikijaribu kuingiza form four index number na surname wanasema ziko wrong Kwani naweza kwenda kufuatilia chuoni mkuu?