Admission fee ni 300k not 3k(typing error)Habarini wakuu ,,nimechaguliwa bsc in chemistry @mwecau kataika fee structure yao kuna admission fee amabayo ni 3k na inatakiwa kulipwa unapofika chuoni je sisi tunaotegemea mkopo itakuaje?
Mwenye uelewa kuhusu hili naomba anijuze
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
Nilikosea ni 300k not 3kYaan elfu tatu (3k) unashindwa kulipa??
Acha uhuni kijana
Ya nin yote hiyo?Io ni 339000 kama sijakosea iyo inalipwaa cash wakat wa kuriport bila hiyo huwezi fua dafu kwenye registration
Ya nin yote hiyo?
Sisi miaka ile udsm tulikua tunaiita direct cost, ilikuwa ni kama elfu 79,000/=
Miaka inabadilika alafu hii direct fee inatofautiana na vyuo kila chuo kina direct fee yakeYa nin yote hiyo?
Sisi miaka ile udsm tulikua tunaiita direct cost, ilikuwa ni kama elfu 79,000/=