Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

suluhisho sio sabuni bali diet yako mbovu mkuu, kula matunda na maji mengi ushushe gogo linalonuka kwa mbaliii bila kukukera
sasa wewe ukienda lodge na demu inakuwaje🤣
 
Hii ndio solution sasa
 
Maelezo mazuri kabisa haya.
 
Tumia maji mengi baada ya kukata ngandi. Tumia hata ndoo ya litre 10 mwaga maji yote kwa pressure kwenye tundu pale panapokuwaga na maji muda wote(kama una choo cha aina hiyo).

Huwezi kuhisi harufu tena baada ya tukio.
 
Your browser is not able to display this video.

nyoka wanapenda sana ubaridi hasa kipindi hiki cha joto, hakikisha unaziba station chamber zote labda wakaingilie kwenye sewarage system
ndio tatizo lake kwa sasa km nyumba ni za chini
cc baraka bb
 
Nyumba yangu moja ina vyoo 7 ndani.. lakini hakuna harufu kabisa hata kidogo. Tanzania wanajenga kiholela sana. Hio harufu ni septic gases. Ujenzi mzuri lazima kila choo kiwe na vent ya kupeleka hizo gesi juu na mbali. Pia vyoo vya kuchuchumaa havifai ndani sababu havina p trap na watu hawaziweki. P trap ni muhimu kukusanya gesi zisitoke hewani kwa ndani.
 
Chumba elfu 50 kina choo ndan! Wapi huko?
 
Hiyo shida hautoiweza kuisolve. Shida sio room yako ila set up nzima ya choo chako ndio ilikosewa so ile harufu haiflow nje inarudi.
Mie nyumba yangu fundi wa kwanza alikosea, ndani ya wiki tangu kuhamia nikakifumua kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu.
Tangu kusukwa upya, harufu haipo. So either hama au ingia gharama ya kufumua na kurekebisha.
 
harufu mbaya inaashiria ulaji wa hovyo...unakula ugoro?

kunywa maji ya kutosha daily; na believe me...kimba litatoka safi na harufu ya kawaida
Kula kabeji au mayai unywe maji ulete mrejesho
 
Nadhani ndivyo alivyo maanisha nami nilivyo mwelewa... (Fresh smell ya kimba kusambaa chumbani)... Ahakikishe anafunga mlango wa aluminium wa kwenda chooni kwani huwa na rubber zinazo ziba vizuri kutorusu hewa kupita tofauti na milango ya mbao.... Pia setting za nyumba tujengapo kutokana na uelekeo wa upepo .. Unakuta position ya dirisha la chooni ndo linalopokea upepo
 
Mwaga maji mengi halafu ukiwa una mega gogo funga mlango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…