Adhabu kwa wachelewaji shuleni

Adahabu za 'kizamani' sana hizi.
Hazijengi wala hazisaidii mwanafunzi wala shule.

Enzi hizo kulikua na adhabu kama kufyeka uwanja, kuchimba shimo la taka, kuchota maji ya kutumia, kupalilia bustani, n.k.
Adhabu ambazo zina manufaa kwa shule.
 
hawa watakuja kuwa makomandoo wa jeshi letu hapo baadaye...

Hahahaaaa Mkuu umenichekesha kama wale makomandoo waliokuwa wanavunja matofali,siku ya muungano.....ndio tunawaandaa hivyo lol
 
Hahahaaaa Mkuu umenichekesha kama wale makomandoo waliokuwa wanavunja matofali,siku ya muungano.....ndio tunawaandaa hivyo lol
ndiyo hivyo Jestina...wakitoka kuyabeba wanaanza kuyavunja!!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo sio adhabu ni starehe... uliza zetu muzee,,,!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…