nimecheki you tube nimeelewa ila nashindwa kukuelimishaHeshima kwenu nyote...
Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??..
Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe nigoogle.......maana ningekuwa naelewa....singeuliza........
Asanteni sana
Makitu mengine kwa kiswahili hayaelezeki. Sana sana pronunciation ndio inabadilika.ayaaaaaa......sasa nitajuaje......?......kwa kiswahili inaitwa nini.....?....
unaumwa mama?ayaaaaaa......sasa nitajuaje......?......kwa kiswahili inaitwa nini.....?....
kuvimba kizaziayaaaaaa......sasa nitajuaje......?......kwa kiswahili inaitwa nini.....?....
Heshima kwenu nyote...
Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??..
Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe nigoogle.......maana ningekuwa naelewa....singeuliza........
Asanteni sana
Hiyo ndio tiba mbadala, nimeielezea kwenye aya ya mwisho hapo kwenye post yanguKama anayeugua huu ugonjwa amefika miaka 40 na amemaliza kupata watoto ni afadhali atoe kizazi. Ni maisha ya mateso, maumivu na tabu kubwa. Binamu yangu alikuwa na shida hii kwa muda wa kama miaka mitatu. Kila mwezi alikosa kwenda kibaruani kwa siku mbili. Alifanya maamuzi magumu akatoa kizazi.
Kumbe upoayaaaaaa......sasa nitajuaje......?......kwa kiswahili inaitwa nini.....?....
Not to that extent.....e e e.....nipo sana.......