brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
mwenyekiti wa Simba leo akiongea kwenye kipindi cha michezo cha Radio 0ne amesema mchezaji Emmanuel Okwi alishasaini mkataba wa makubaliano na Etoile du sahel mara baada ya kufikisha miezi sita ya mkataba wake, kwaiyo simba ikabidi itumie akili ya kuzaliwa ili kuweza kumuuza na Simba kupata pesa la sivyo Okwi angeondoka bure mwisho wa msimu. Na akili iyo ya ziada bado haijalipa maana bado hawapewa pesa zao na Etoile du sahel aliongeza Rage.
Lakini kwa kumbukumbu zilizopo Okwi alisaini mkataba mpya wa miaka miwili na Simba wakati wa michuano ya CECAFA nchini Uganda. Sasa mheshimiwa Rage ule mkataba ulikuwa na maana gani kwa Simba? ,ilikuwaje mumsahinishe mkataba mpya wakati mnajua alishasaini makubaliano ya awali na Etoile na sheria ilikuwa inamruhusu? Na inaonekana Etoile du sahel hawana wasiwasi na hili swala. Unatuchanganya kwa kweli