Rageee...,et kamvua uanachama palel pale, kumbe simba mwenyekiti mtu akipingana nae tu, ni kosa, na leo naona hakuwa na bastora pale, bi hindu ingekula kwake!
leo ndo nimeamini Askari wa Tanzania ni Mazezeta...
Mie nilijuwa Ndugai alipoamuru Polisi wamtoe Tundu Lissu nje then polisi wangejifunza kusimamia sheria...
Kumbe ushuzi uleule, leo tena kuna lingine limeamuliwa limtoe Mama wa watu nje eti nalo likawa linakwenda kumtoa...
teh teh Nyerere alisema ''akili ikifika mwisho basi Mavi huanza kutumika''
Mimi niliacha kushabikia Simba SC tangu alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti huyu gamba, pengine nitaishabikia akimaliza muda wake ila kwasasa sitaki kabisa maana hana malengo yoyote na timu.Macho na masikio yangu nayaelekeza Mbeya City na Tukuyu Star "Banyambala"