Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,143
- 1,433
jamaa mshamba sana huyoAdamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho,msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144View attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Anapenda kutania sana Kuna clip inamuonyesha anamkimbiza jamaa wapo tumbo wazi walikuwa wanakula nadhani wametoka nje yule mwenzie anacheza yeye amakasirika anamkimbiza huku anatukana ...ni kwamba walikuwa sijui wanataniana jamaa akapanicHuwa nashangaa jamaa huwa inakuwaje anakuwa na hasira za haraka hvyo wakati ni mtu wa masihara sana na kupenda kutania wenzie
Nakumbuka enzi diva the boss akiwa hapo alikuwa hapendi kabisa utani na huyu mwamba,jamaa akianzisha utani diva anamkata fasta
wanaushamba flani wakijinga sanaVijana wa R-CHUGA hao
Hata hvyo wavuta mibangi ni kama masai wanabadilika muda wowoteAnapenda kutania sana Kuna clip inamuonyesha anamkimbiza jamaa wapo tumbo wazi walikuwa wanakula nadhani wametoka nje yule mwenzie anacheza yeye amakasirika anamkimbiza huku anatukana ...ni kwamba walikuwa sijui wanataniana jamaa akapanic
Sana, ujuaji mwingi sana.....wanaushamba flani wakijinga sana
wengi ni maboya tuSana, ujuaji mwingi sana.....
Kama Mhuni akamkoromee MajaniHuyu hajawahi kutana na muhuni mmoja amnyoshee
Huyu kijana huu ubabe wa Arusha anauleta Dar, kuna siku atakuja kupigwa mpaka ajinyee.
aaaahh... wapi dar mabwege na mashoga wengi ni kuwatwanga tu wakileta ufala.
Adam wahuni ndo washikaj zake hvyo hawazinguan,ndo maana hata kwenye ma antvirus hakuwah kuimbwaKama Mhuni akamkoromee Majani