Sjazungu
Mmmh hiyo taarifa ni ya uhakika au tetes wakuu maana me pia nina mpango huo.
Nikienda af mambo yenyew yawe hivyo c ntakufa kabisa jaman.
Kufa haitoshi,unajua vijana tunamatatizo,tunasoma kozi kwa prestige bila kuangaria uwepo wa ajira na familia unayotoka,na jambo linatugalimu sana