dally dally
Member
- Feb 16, 2016
- 30
- 6
form 4 au 6Wakuu...naomba kuuliza kama kuna chuo cha Clinical Officer mkoani Mbeya au Iringa...Binafsi nimeulizia nimeshindwa kupata jibu.Nishaapply vyuo vtatu vya serikali mtandaoni,lakin idad ya waombaji ni kubwa na ninapata waswas wa kuchaguliwa...Naomben msaada wenu..
Ahsanten!!
(Nina B+ ya chem,Bios na Phys)
form four kaka
Wakuu naomben msaada jaman Mimi Nina
Phys D
Chem C
Bios. B
Math. F
Naweza kusoma coz ya clinical oficer(CO) Nina div ii ya 21
Mdogo wng Ana D zote kwny masomo ya phisics, chemistry na biology anawaza soma kozi zipi za afya na kwa vyuo gani vya serikali
ahaa ebu nishauri sasa ndug nipge coz ipi tofaut na nursing maana cjui chochote ndug
Advanc STK kwenda je nawez som diploma katk koz nyingin
Za afya naweza kupata km zip
jaman nisaidieni
naweza kusoma clinical officer?
matokeo nikama ifuatavyo 2016
bios D
hist D
Engl D
civics C
chemi D
geog D
kiswahili
DAAAAAAH WAKAT UNASOMA ULIKUA NA NDOTO KUHUSU KOZI ZA UTABIBU WEWE????!!!!!!!!!!!!!!
Nina chem D,biolg C na engl D ila fizii ckuxoma na geo C naweza kupata chuo cha famasia ngazi ya diploma
pole mkuu ..huwezi soma diploma ya clinical officer.. vigezo ni c tatu kwa masomo ya chem ,phy, bios..hapo kwenye phy ndo umevuruga ungeweza soma clinical assistant yaani CA