uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,989 Reaction score 28,451 Apr 7, 2019 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nina kijana wangu nataka nimpeleke hapo cbe kuendelea na masomo kwa ngazi ya certificate kwenye masuala ya uhasibu je level hii gharama ni shilingi ngapi na udahili wake ukoje? Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nina kijana wangu nataka nimpeleke hapo cbe kuendelea na masomo kwa ngazi ya certificate kwenye masuala ya uhasibu je level hii gharama ni shilingi ngapi na udahili wake ukoje? Sent using Jamii Forums mobile app
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Jun 20, 2021 #2 1,020,000/=