Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 104 Jan 27, 2010 #1 Jamani wana JF hii kozi hapa Nchini mbona haipo na nikiangalia kwenye Prospectus ya UDsm naona imeandikwa na pale chuoni haifundishi ............hii mambo imekaa vp na hapa Tz nasikia wataalamu wa hiyo mambo wako 50 tu!!!
Jamani wana JF hii kozi hapa Nchini mbona haipo na nikiangalia kwenye Prospectus ya UDsm naona imeandikwa na pale chuoni haifundishi ............hii mambo imekaa vp na hapa Tz nasikia wataalamu wa hiyo mambo wako 50 tu!!!
arthurmalya Member Joined Apr 20, 2015 Posts 10 Reaction score 4 Mar 9, 2017 #2 Hamsini sina uwakika kama wote hao wamemaliza proffessional papers zote
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,858 Mar 9, 2017 #3 Acha uongo mkuu hyo actuarial science IPO na inafundshwa hapa udsm na kuna tuna share nao baadh ya course
Acha uongo mkuu hyo actuarial science IPO na inafundshwa hapa udsm na kuna tuna share nao baadh ya course