habari wana jamii forum,
kwa wale wanaofuatilia bunge let mtakuwa mmegundua kua waziri mkuu alipotoka bungeni kwenda arusha alimuachia mh. Sitta bunge.Je mnaonaje jinsi Mh. Sitta anavyojibu maswali na hoja mbalimbali bungeni mkilinganisha na mheshimiwa wetu.