ACT wazalendo ndiyo habari ya mjini

ACT wazalendo ndiyo habari ya mjini

mwakafuka1981

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
21
Reaction score
3
Watanzania naomba kukiunga mkono chama cha a.c.t maendeleo kwani ndiyo habari ya mjini kwasasa wakati umefika wakuwa na wapinzani wa ukweli siyo wapinzani wa kutaka wawe wao tu nini maana ya demokrasia kama huwezi kuwapisha wezako kuchukua nafasi eti nimeombwa na wazee chadema waache kuwadanganya watanzania tunataka wapinzani wa ukweli kama zitto kabwe
 
Safari ya kisiasa. A.c.t.bado ndefu sana ni vigumu kutabili mbeleni itakuwaje .ni mapema mno kujisifu.
 
Hiyo habari ni ya mji gani?mwadiga? Huku mjini kwetu watu hata hawajui act ndiyo korokoro gani,hicho kichaka zitto alichojitolea kukifyeka kilikua kinatumika kama CHOO na watu wa mtaa wa LUMUMBA,hivyo akitoka huko atakuwa ananuka mavi sawasawa,acha aendelee kuyakoroga huko.
 
Hizi habari nyingine bhana kama ze komedi tu,
ACT ndo nin sasa kwa mfano?
 
Nimejiunga na CDM mwaka 2009 nikiwa toka nina akili zangu timamu kwa sababu nilivutiwa na sera nzuri za chama changu na sikumfuata mtu kama wajinga wengine, CDM nakupenda sana na ntaendelea kukuunga mkono kuwatimu wasaliti wote.
 
Watanzania naomba kukiunga mkono chama cha a.c.t maendeleo kwani ndiyo habari ya mjini kwasasa wakati umefika wakuwa na wapinzani wa ukweli siyo wapinzani wa kutaka wawe wao tu nini maana ya demokrasia kama huwezi kuwapisha wezako kuchukua nafasi eti nimeombwa na wazee chadema waache kuwadanganya watanzania tunataka wapinzani wa ukweli kama zitto kabwe

Too green; a rookie for that matter! Ukikua utayaelewa haya mambo!!
 
kuna watu najua hawapendi kukubali ukweli ila chadema hawana muda act ndiyo kinakuja kuwa chama kuu cha upinzani tanzania na habari ya chadema itakuwa imeishia hapo kama unataka kujua hilo jaribu kuuliza NCCR wako wapi
 
Habari ya mjini sasa ni maigizo ya lowasa na watu wake

Hiyo habari ni ya mji gani?mwadiga? Huku mjini kwetu watu hata hawajui act ndiyo korokoro gani,hicho kichaka zitto alichojitolea kukifyeka kilikua kinatumika kama CHOO na watu wa mtaa wa LUMUMBA,hivyo akitoka huko atakuwa ananuka mavi sawasawa,acha aendelee kuyakoroga huko.

Vichaka vya mafisad mbow. Dr slaa, mtei na cdm, vitafyejwa tu
 
Mara chadema mara Act anatafuta nini huyu kjana atulie eneo moja itamfaa. kwa ushuri wangu angeacha siasa atafute ajira serikalini. maana namwona ni mtaalamu mzuri wa mambo ya uchumi. ila siasa hawezi. ukitaka kuamini fuatailia mazunguzo yake mengi utagundua kuwa ni yakitaalamu na si kisiasa. kumbe acha siasa zito njoo tujenge kupitia utaalam siasa itakuponza YEMUGA WACHU.
 
Mwakafuka tatizo hujitambui?umemfuata zito,hujafuata chochote hapo,mwambie zito amuulize Mrema yuko wapi? Mwambie ajiulize kama amefikia hata robo ya watanzania waliokuwa nyuma ya mrema,kioo cha mbele kinaonyesha ZITTO na Act yake kwishinei na Cdm inazidi kupetaa,inamsimamo wa kweli atakae msaliti mwananchi tu ataenda kukabiziwa kwa balozi kijijini,hatabadilishwa sehemu ya kazi kama wanavyolindana wengine.
 
ACT imeundiwa CHADEMA na wasaliti bila shaka nichama cha CCM tuu!!
 
Back
Top Bottom