ACT Wazalendo mwendo mdundo

ACT Wazalendo mwendo mdundo

mkude kibwana

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
348
Reaction score
27
Chama cha ACT wazalendo chazidi kudunda mitaani baada ya tafiti kuonyesha ni chama pendwa na wanyonge wengi kuliko CCM na CHADEMA.

Tafiti hizo zilizofanywa na chombo kimoja cha habari kimebaini ACT imejikita zaidi vijijini tofauti na vyama vyenza katika uchaguzi huu ujao.

wakati hayo yakiendelea ayari kampeni za ACT zinaendelea na mgombea wake wa urais tayari amekuwa tishio kwa wagombea wenzake wa CCM na UKAWA.

Tishio hilo linajegwa na uwezo wa mama Kujieleza na kuonyesha kuyajua matatizo ya watanzania kuliko wenzake walio na mzigo wa kujibu shutuma mbalimbali tofauti na Mama.
 
mwendo mdundo, jaman watz tumahinikize lowasa kujibu tuhuma zinazomkabil....
 
jamani jana tu kijiji gani kipo hicho mnachosema chama??
 
Chama cha ACT wazalendo chazidi kudunda mitaani baada ya tafiti kuonyesha ni chama pendwa na wanyonge wengi kuliko CCM na CHADEMA. Tafiti hizo zilizofanywa na chombo kimoja cha habari kimebaini ACT imejikita zaidi vijijini tofauti na vyama vyenza katika uchaguzi huu ujao.

wakati hayo yakiendelea ayari kampeni za ACT zinaendelea na mgombea wake wa urais tayari amekuwa tishio kwa wagombea wenzake wa CCM na UKAWA. Tishio hilo linajegwa na uwezo wa mama Kujieleza na kuonyesha kuyajua matatizo ya watanzania kuliko wenzake walio na mzigo wa kujibu shutuma mbalimbali tofauti na Mama.

kweli mwendo mdundo.
 
Attachments

  • IMG-20150830-WA0016.jpg
    IMG-20150830-WA0016.jpg
    254.7 KB · Views: 124
Mchange @ work n siasa zke mchwara. Act n saccos ya ccm
 
Hiki Chama kikipata hata asilimia 2 ya kura za Uraisi Jua halitazama kama kipindi cha Joshua
 
Hiki Chama kikipata hata asilimia 2 ya kura za Uraisi Jua halitazama kama kipindi cha Joshua
Waswahili wanasema dua la kuku halimpati mwewe! Yule mama analimiki jukwaa dakika 95 na za majeruhi juu!
 
Chama cha ACT wazalendo chazidi kudunda mitaani baada ya tafiti kuonyesha ni chama pendwa na wanyonge wengi kuliko CCM na CHADEMA. Tafiti hizo zilizofanywa na chombo kimoja cha habari kimebaini ACT imejikita zaidi vijijini tofauti na vyama vyenza katika uchaguzi huu ujao.

wakati hayo yakiendelea ayari kampeni za ACT zinaendelea na mgombea wake wa urais tayari amekuwa tishio kwa wagombea wenzake wa CCM na UKAWA. Tishio hilo linajegwa na uwezo wa mama Kujieleza na kuonyesha kuyajua matatizo ya watanzania kuliko wenzake walio na mzigo wa kujibu shutuma mbalimbali tofauti na Mama.

:couch2:
 
Back
Top Bottom