ACT-Wazalendo Mbozi wanasubiri tu kipyenga watangaze ubunge

mahroof

Member
Jul 9, 2015
47
62
Kwa taarifa nilizo zipata kutoka kwa katibu wa act (w)mbozi mh rahim nzunda.zinasema mpaka maandalizi ya kutoa ushind kwa kishindo yamesha kumilika.mpaka sasa amedai wanasubir mda wakampeni utangazwe wakamalzie asilimia zilizo baki.
Katibu wa act aliongeza kwa kusema ana imani na kikosi chake yan kikos tuu ni ushind tayar hatatusipo fanya kampeni.
 
Asante sana na mimi niko njiani nakuja kuchukua fomu ya kugombea ubunge kupitia ACT wazalendo chama chenye fikra ya zama ya mawe.
 
Kampeni zitazinduliwa ktk kata ya msia na kufungia katika makao makuu ya mkoa wa songwe mjini vwawa
 
Back
Top Bottom