Limbu, Mwenyekiti wetu ACT-Tanzania, Taifa tafadhali njo kwetu hapa njombe utufungulie tawi. Pia kuwa makin na Huyo Mzito Kabe na Mnyiramba Kitira kwan hao wamekuja kuangamiza Chama chetu cha Usalendo.
Hahahaha naona vijana wa ufipa wanaweweseka na ACT.
Dah ACT mnanipa raha jinsi mlivyowashika makalio hawa ufipa family make naona wanarukaruka tu kama bisibisi. Najua wiki hii hata viroba havipandi kutwa mnaiota ACT.