huyu jamaa naona sasa kabaki kufanya siasa magazetini tualishindwa hata kumnadi mgombea urais wa chama chake akabaki kujipigia debe mwenyewe ndio maana hata kwenye picha za wagombea ubunge na udiwani wa mikoa mingine alikuwa anaweka picha za chama chake