Kwi! Kwi! Kwi!Wadau na Wazalendo.
Nimeona Tangazo la ACT maeneo ya hapa DSM mjini likiashiria kuwa kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama hiki.
ACT ni chama kinachoangaliwa kwa jicho la karibu na wananchi wengi na masikio yao yapo wazi kusikia kinachozungumzwa na viongozi wa ACT.
Nikiwa kama mzalendo na mkereketwa wa Uzalendo, naweza jua hasa ni lini na viwanja vipi mkutano huu utafanyika?
Act wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa,Ile saccos ya wachaga mda si mrefu tutaizika rasmi
ACT ndio wapinzani makini.
waachieni wenyewe wahabarishane kupingana nao ni krefusha thread hii ndio kazi waliyopewa kuanzisha thread na kuleta ubishi ili paonekane pana issue kumbe uozo hapa namwangalia lisu bungeni.
Wadau na Wazalendo.