Act chama cha wazalendo

Act chama cha wazalendo

joka57

Senior Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
138
Reaction score
49
Wakuu nimesoma gazeti moja la leo samson mwigamba ambaye ni katibu mkuu wa chama pacha cha watawala ACT akipingana na boss wake zitto kabwe akisema jambo la UKAWA kuungana ni zuri na lina TIJA lakini boss wake ambaye ni zitto kabwe yeye anasema hawa UKAWA ni wasaka tonge. Jana walitoa taarifa kwa vyombo vya habari kwamba hawaikubali katiba pendekezwa lakini leo kuna taarifa kwamba kiongozi wa ACT kanda ya ziwa leo alikuwa kwenye mkutano wa CCM akisema katiba pendezwa ni NZURI SANA.

sasa ukiona viongozi wa chama kimoja wakitoa matamko tofauti ujue hao ni watawala na utawala wao umefitinika. ACT nakwambieni hamtadumu maana mmekuwa kama hawa mwanasheria,anapingwa na rais, raisi anapingwa na tume ya uchaguzi. kumbe ACT lenu moja na mcc.

AU ndio kusema ACT mmeanza kutekeleza kile kilichowekwa humu jf kwamba ccm na sisi tuunganishe nguvu?

TUMIKENI NYIE USELESS
 
Leo startv act jukwaa moja na ccm mwanza wote wanapinga ukawa na kukubali katiba inayopendekezw
 
Back
Top Bottom