Watu wavivu kufikiri na kufanya utafiti wanafikiri ushindi Wa ubunge na madiwani kutoka ukawa ulisababishwa na ujio Wa lowassa na kundi lake !! this pathetic!! ni asilimia ndogo sana!! ushibdi wao au idadi kuongezeka ilitokana na kuchukiwa kwa CCM na wananchi waliyokuwa wamechoka ufisadi ndani ya chama tawala!!na ushindi waliyopata siyo wakujivunia hata kidogo maana ni small percentage ya wabunge compared to the powerful party CCM iliyoweza kushinda vyama vyote 4!Ni aibu ya mwaka Lissu kujisifia ushindi kupitia ukawa!!Nafiri hesabu alifeli mbaya sana!!
Mipasho ipi wakati hapo ametoa fact tupu wewe unaamini wabunge wa cuf wamepatikana miezi miwili baada ya Lowasssa kuingia Chadema?Mkumbo kajibu kwa mipisho badala ya kujenga hoja!
Kama ushindi wa CUF ulitokana na kuchukiwa kwa Ccm kwa nini na ACT nao wasipate hivyo viti kadhaa ukizingatia nao walisimamisha mgombea kila jumbo?Watu wavivu kufikiri na kufanya utafiti wanafikiri ushindi Wa ubunge na madiwani kutoka ukawa ulisababishwa na ujio Wa lowassa na kundi lake !! this pathetic!! ni asilimia ndogo sana!! ushibdi wao au idadi kuongezeka ilitokana na kuchukiwa kwa CCM na wananchi waliyokuwa wamechoka ufisadi ndani ya chama tawala!!na ushindi waliyopata siyo wakujivunia hata kidogo maana ni small percentage ya wabunge compared to the powerful party CCM iliyoweza kushinda vyama vyote 4!Ni aibu ya mwaka Lissu kujisifia ushindi kupitia ukawa!!Nafiri hesabu alifeli mbaya sana!!
Wee ni Pro-Lissu 100%Mkumbo kajibu kwa mipisho badala ya kujenga hoja!
Hawa maprofesa sasa inabidi wafuatiliwe bila shaka kuna material ya politics walimezeshwa sasa yanawasumbua na kuwafanya washindwe kujielewaProfesa
wanasemasema maneno kuhusu Mirembe.Sijui lakini mimi lisuu namuona kama ni mtuu aliyepungukiwa na busara kichwani
ni vyema ungejiuliza wewe wale washirika wengine wa ukawa kama Nccr na Nld, wameongeza wabunge wangapi..!?, Nccr kutoka wabunge Watano bunge lilipita mpaka mbunge mmoja bunge ili...Ha ha haa, hii ndio nguvu ya ukawa..!?Kama ushindi wa CUF ulitokana na kuchukiwa kwa Ccm kwa nini na ACT nao wasipate hivyo viti kadhaa ukizingatia nao walisimamisha mgombea kila jumbo?
Kitila kesha julikana kuwa analinda kibarua chake serikalini
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]wanasemasema maneno kuhusu Mirembe.
vipi NCCR na NLD......... amasa iyo iliwasaidia nini mbna wanaonekana kwa wameanguka sana japo hamas unayo isema ww pia iliwahusu,Nadhani kuna kitu ambacho kimejificha kidogo na ndo maana wengi hatuingii kukiona. UKAWA ulileta hamasa zaidi kwa wananchi kwa sababu ya ile dhana ya umoja. Kuna usemi usemao; United we stand. Kwa maneno mengine ni kwamba, tulikuwa na kiu ya kuona ccm imeanguka, na ukweli ni kwamba, ccm nao walijua/wanajua, upinzani wakiungana, hakika watawaangusha. Ndo maana huwa wanajitahidi kwa kila mbinu kuitikisa upinzani wasiweze kusimama katika umoja.
Tangu UKAWA ianze kupinga katiba pendekezwa, mambo yalianza kuiendea mrama ccm. Hivyo, kitendo cha kumwingiza tena Lowasa kwao UKAWA ikatia chaji zaidi kwa wananchi kuanza kuamini kuwa, sasa ccm kwa kheri. Mipango ya kuwatikisa CUF na CDM ilivyo wiva hata Profesa na Dr wakaamua kubwaga manyanga tena katikati ya vita iliuua ule mori wa wananchi.
That is why, tunasema, Profesa aendelee kukaa kule kule alikoenda awaache wana CUF wajikongoje wenyewe.
Hata angelipewa ruksa kuingia ofisini leo, hawezi tena ongoza kwa nguvu yake ya kale. Aliiangusha CUF kwa kukimbia vitani. Full Stop.
Kitila is another pathetic. Afanye vyake huko ACT aongeze wabunge, aache kuyatangaza mapungufu ya upinzani. Unapoeleza mapungufu tuuu unauua upinzani.
Tungoje hata kukitokea chaguzi ndogo ACT ipite kwa sera zake. Lakini kwa mtindo huu wa kupambana na upinzani, mtabaki na huyo huyo mmoja. Mkuu kishawaambieni, hatokula pamoja na mpinzani yeyote. Kumbukeni hilo, acheni kutafuta kuvurugana, mvurugeni mbaya wenu ccm si vinginevyo.
vipi NCCR na NLD......... amasa iyo iliwasaidia nini mbna wanaonekana kwa wameanguka sana japo hamas unayo isema ww pia iliwahusu,
Nadhani kuna kitu ambacho kimejificha kidogo na ndo maana wengi hatuingii kukiona. UKAWA ulileta hamasa zaidi kwa wananchi kwa sababu ya ile dhana ya umoja. Kuna usemi usemao; United we stand. Kwa maneno mengine ni kwamba, tulikuwa na kiu ya kuona ccm imeanguka, na ukweli ni kwamba, ccm nao walijua/wanajua, upinzani wakiungana, hakika watawaangusha. Ndo maana huwa wanajitahidi kwa kila mbinu kuitikisa upinzani wasiweze kusimama katika umoja.
Tangu UKAWA ianze kupinga katiba pendekezwa, mambo yalianza kuiendea mrama ccm. Hivyo, kitendo cha kumwingiza tena Lowasa kwao UKAWA ikatia chaji zaidi kwa wananchi kuanza kuamini kuwa, sasa ccm kwa kheri. Mipango ya kuwatikisa CUF na CDM ilivyo wiva hata Profesa na Dr wakaamua kubwaga manyanga tena katikati ya vita iliuua ule mori wa wananchi.
That is why, tunasema, Profesa aendelee kukaa kule kule alikoenda awaache wana CUF wajikongoje wenyewe.
Hata angelipewa ruksa kuingia ofisini leo, hawezi tena ongoza kwa nguvu yake ya kale. Aliiangusha CUF kwa kukimbia vitani. Full Stop.
Kitila is another pathetic. Afanye vyake huko ACT aongeze wabunge, aache kuyatangaza mapungufu ya upinzani. Unapoeleza mapungufu tuuu unauua upinzani.
Tungoje hata kukitokea chaguzi ndogo ACT ipite kwa sera zake. Lakini kwa mtindo huu wa kupambana na upinzani, mtabaki na huyo huyo mmoja. Mkuu kishawaambieni, hatokula pamoja na mpinzani yeyote. Kumbukeni hilo, acheni kutafuta kuvurugana, mvurugeni mbaya wenu ccm si vinginevyo.
Mkuu hujamsoma vizuri na kumuelewa dhana yake
Sio kweli kwamba Lowassa ndio ameleta hao wabunge wa cuf kwa kuwa aliingia ukawa kwa miezi miwili tu kama cdm wanvyotaka kuaminisha
Mbona hatujaona ongezeko nccr au nld?
Kunatofauti kati ya ukawa na lowassa
Ukawa ulikuwepo kabla ya lowassa
Na mtafaruku wote huu ni kwasababu lowassa alikuja ukawa kwa kukosa ccm
lisu mropokaji cku akituliza akili atajenga hoja vizuriSijui lakini mimi lisuu namuona kama ni mtuu aliyepungukiwa na busara kichwani