Hilo li Lissu na uchwara, utadhani lilichelewa kusema utotoni, kwa kung'ang'ania neno moja tu.Dar es Salaam. Wakati mnyukano wa kisiasa ukiendelea ndani ya CUF, makada wa vyama vya ACT – Wazalendo na Chadema wamenunua ugomvi huo na kurushiana lawama mtandaoni.
Ugomvi huo ni kati ya mshauri wa ACT, Profesa Kitila Mkumbo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu ambao jana walitupiana maneno na kejeli za kisiasa kuhusu mgogoro huo unaohusisha mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na upande mwingine unaoongozwa na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.
Kilichomwibua Lissu ni kauli ya Profesa Mkumbo kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya Ukawa itakuwa chama imara. Lakini Lissu alimjibu Profesa Kitila kuwa anajua kuwa hoja yake hiyo ni uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi.
Leta swali la Hoja la Lisu ili nilete majibu ya Hoja ya KitilaMkumbo kajibu kwa mipisho badala ya kujenga hoja!
Lini Kitila aliwahi kuwa kimaslai, na ni wapi Lipumba alikua kimasla, kilicho ongelewa na wasomi hao kwa nyakat na mahala tofaut ni sawasawa na ndio ukwel wenyewe....Unategemea Kitila aongee nini katika hili? The difference is the same kati ya Kitila na Lipumba! Wote wapo kimasilahi binafsi zaidi.
Lissu naye ana kauli uchwara!!!Dar es Salaam. Wakati mnyukano wa kisiasa ukiendelea ndani ya CUF, makada wa vyama vya ACT – Wazalendo na Chadema wamenunua ugomvi huo na kurushiana lawama mtandaoni.
Ugomvi huo ni kati ya mshauri wa ACT, Profesa Kitila Mkumbo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu ambao jana walitupiana maneno na kejeli za kisiasa kuhusu mgogoro huo unaohusisha mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na upande mwingine unaoongozwa na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.
Kilichomwibua Lissu ni kauli ya Profesa Mkumbo kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya Ukawa itakuwa chama imara. Lakini Lissu alimjibu Profesa Kitila kuwa anajua kuwa hoja yake hiyo ni uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi.
Nakubaliana na Kifaurongo pale juuLeta swali la Hoja la Lisu ili nilete majibu ya Hoja ya Kitila
tusijitie upofu au ukiziwi kwenye maswala yanayo onekana na kusikika
Maprofesa wa MLIMANIUnategemea Kitila aongee nini katika hili? The difference is the same kati ya Kitila na Lipumba! Wote wapo kimasilahi binafsi zaidi.
Sijui lakini mimi lisuu namuona kama ni mtuu aliyepungukiwa na busara kichwaniHilo li Lissu na uchwara, utadhani lilichelewa kusema utotoni, kwa kung'ang'ania neno moja tu.