Acheni Ufala!!

Acheni Ufala!!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,701
"Siku zote Kumnyanyasa na kumpotezea Mpenzi wako ni kumfundisha kuishi bila ya wewe. Baadhi ya watu wanafikiri kwamba kuwafanyia hvyo wapenzi wao ni kuwakomoa.

Wasichojua ni kwamba kadiri muda unavyozidi kwenda, ndivyo mtu anazoea maumivu na kukuona wa kawaida.

Kuwe na Ukweli, pale unapomchoka mtu mueleze wazi tu, ni heri maumivu ya mara moja kuliko yale ya kila siku!"

Im done!!
FB_IMG_1559388470461.jpeg
 
Im done!!View attachment 1114040
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom