Acto_script_play
Member
- Nov 9, 2017
- 24
- 9
yanini kujiona wewe nibora kuliko mwingine,yanini kunyanyasa fukara,yatima,wajane,wagonjwa,walemavu eti kwasababu ya elimu,pesa,uzuri
jamni tunajidanganya na uzr wamiili yetu tanzama tena hiyo picha alafupiga magoti nakutubu dhambi zako maana sisi sikitu mbele za Mungu .
Tumiya ujanawako kumtumikiya mungu achana na anasa za ulimwengi wanawake watakupeleka wapi wanaume watakupeleka wapi pesa yako haitakupa tiketi mbingu Bali uaminifu wako ndiyo silaa ya uzima.
"type Amn"