Na wabunge nao wanashindwaje kuwapigania watu wa majimboni mwao!
Au mnafikiri kazi ya wabunge ni kwenda kushinda na kujichukulia posho tu?
Msiangalie suala la umasikini wetu upande mmoja na kuanza kuwatupia lawama CCM.
Kumbukeni tumo kwenye mfumo wa vyama vingi