Ndo best kwa bongo coz mitandao mwingine yote inategemea ttclttcl vipi?
Mia5 kivipi iwe mb70?Ni kweli Voda wanakasi lakini wezi Sana yaani Mia 5 mb 70 Ni upuuzi Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Haloteli Mia tano mb500
Kwani Nani kakwambia voda hupati mb500 kwa iyo jero yako Tena unapata + dakika15 mitandao mingine na 35 voda to voda 24hrsHaloteli Mia tano mb500
kilicho akilini kitumie
Vifurushi vya chuo au? Unabonyeza namba zipi?Kwani Nani kakwambia voda hupati mb500 kwa iyo jero yako Tena unapata + dakika15 mitandao mingine na 35 voda to voda 24hrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu kama wewe unapata mb 500 kwa tsh 500 hiyo ni ya kwako ofa, ya kwako ofa hazifanani. Kifurushi cha kawaida tsh 500 ni mb 70.Kwani Nani kakwambia voda hupati mb500 kwa iyo jero yako Tena unapata + dakika15 mitandao mingine na 35 voda to voda 24hrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni ya kwako tu, wengine je? Wanatumia ile mbinu ya "DIVIDE AND RULE" wanajua tu mtu akiwaponda kuna atakayewatetea. Wao wako tu pembeni wanasikilizia .Kwani Nani kakwambia voda hupati mb500 kwa iyo jero yako Tena unapata + dakika15 mitandao mingine na 35 voda to voda 24hrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ukae na voda yako sasaKwani Nani kakwambia voda hupati mb500 kwa iyo jero yako Tena unapata + dakika15 mitandao mingine na 35 voda to voda 24hrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu.Hakuna namna, kama wew unategemea internet katika kufanya kazi zako huna namna ya kuwakwepa voda, maan mitandao mingine hakuna kitu, slow sana. Airtel wana bando za maana sana ila internet ipo slow sana haifai kabisa. Voda endeleeni kutamba, hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app