Tajiri aliamka ""ASUBUHI"" akachungulia ""DIRISHANI"" akamuona ""MASIKINI"" akitafuta ""CHAKULA"" jalalani,
Tajiri akajisemea asante ""MUNGU"" kwasababu mimi si ""MASIKINI"",
Masikini nae alipogeuka akamuona ""KICHAA"" kavua nguo akajisemea asante Mungu mimi si ""KICHAA"",
Kichaa nae alipoangalia barabaran akaona ""AMBULANCE"" ikipeleka mgonjwa ""HOSPITALI"" kichaa akajisemea asante ""MUNGU"" mimi si ""MGONJWA"",
Mgonjwa nae alipoangalia nje akaona watu wamebeba ""MAITI"" wanaenda ""KUZIKA"" akajisemea asante ""MUNGU"" mimi sijafa...!
Mshukuru MUNGU kwa kila jambo, Maana DUNIA hii haina mwenyewe. Gde