miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Aaaa wapi pakiwa wazi kabisa ndo mzuka... mi naangalia tena nakunja sura na machozi kunitoka kuonyesha vile nna hasira napo!
kuolewa nako mmmh!!!!! nataka nitege barabarani ndoo raha kila nikipita macho ya wanaume kwangu huku najifanya nafunika afu pochi inanisaidia kufunu we acha kabisa kutega raha jamaniDu! Kumbe mnapenda attention hivyo? Shaurizenu, olewenu mkutane na "predators" hawaachii kitoweo!
kuolewa nako mmmh!!!!! nataka nitege barabarani ndoo raha kila nikipita macho ya wanaume kwangu huku najifanya nafunika afu pochi inanisaidia kufunu we acha kabisa kutega raha jamani
Hahahha...kumbe makusudi??.haya bwana...ila nilikuwa napinga sana "Islamic Sharia" (wengine wanaiita "Sharia Law").. Lakini sasa nadhani dawayenu ni katiba mpya kuwalazimu kuwa mnavaa hijabu!
Habari zenu wana Jamii Forum,
Hivi inakuwaje mdada amevaa KIMINI halafu akifika mbele za watu anakilazimisha kukivutia chini?Jamani huu si ujinga hata upepo ukimpuliza anakishikilia na ukikiona hicho kimini kilivyovaliwa ni sawa na nusu uchi.
Acheni tuone hilo umbo inakishusha cha nn jamani si umetaka kutuonesha utamu wacha tuupate,dadaz kuweni wastaarabu kiaina vaa kiheshima kidogo.
kuna maijabu yanampasuo mkuu we acha kabisa nikitaka kukutega hata nikivaa gunia naweza ....
babueee kusubiria mguu unenepe lini.. huo huo ndo unafaaa kuvalia kimini ... aku mie vimikono vyangu vionekane tutajuana mbele ya safari
We acha tu, na mnavyojua mitego tena usiombe muwe mnashuka garini mkiwa mmevaa vimini kwa kweli ni hatari, mimi kuna dada sikuamisha macho nilikua namuangalia kwa msimamo na nikaona anajua kinachofanya nimwangalie na ndani alikuwa hajatupia kufuli baada ya kushuka huku nikiwa nimemkazia mwenyewe akanisalimia "mambo" nikajibu safi.
Nilisafisha macho bure bila ya gharama yoyote, kwa kweli hii dunia bila ya wanawake ilikuwa haina maana yoyote, kweli raha sana
aaaah wapi? mimi vimiguu vyangu vinanguvu acha kabisaHahahaha ila usiombe mvua ikanyesha maana utatitia Miss Chagga
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Hahaha...hizo hijab lazima zi comply na minimum standards za TBS! Ikikutwa imechakachuliwa unapelekwa kusulubiwa goligota!
Tatizo sio nguvu tatizo ni wembamba ukikutana na udongo tifutifu ulionyeshewa mvua kutitia ni lazima[QUO TE=miss chagga;9603333]aaaah wapi? mimi vimiguu vyangu vinanguvu acha kabisa
Tatizo sio nguvu tatizo ni wembamba ukikutana na udongo tifutifu ulionyeshewa mvua kutitia ni lazima
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
kumbe tunatega tu ili uzidi kutolea macho... kwa sababu nikijivuta juu kinapanda tena afu nashusha... au nainama naweka mkono kiuononi hapo lazima uangalie tu......
Cha ajabu kavaa kimini vimiguu vyenyewe vyembamba kama spoku za baiskeli.