Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
kufunika funika ndo kunatamanisha kufunua na kutaka kujua na inaongeza mvuto kwa mtazamaji... lakini ikiwa wazi hapo mbona hutaangalia kabisa..... mwanamke mitego babu eee loh
Mmmh..na kwenye kukaa.mnajifanya kuvuta sijii kitop au blouse chini....kumbe
kumbe tunatega tu ili uzidi kutolea macho... kwa sababu nikijivuta juu kinapanda tena afu nashusha... au nainama naweka mkono kiuononi hapo lazima uangalie tu......
Kweli lakini, na cha ajabu tangu anatoka nyumbani alishafanya maamuzi mfano leo atoke vipi na kama kwenye kioo alikaa vya kutosha na hata dukani siku ananunua alishajipimisha, sasa iweje siku ya kuvaa ndo iwe kushusha shusha tuachieni tupate raha duniani maisha yenyewe mafupi
Aiseee...wanaume tumeumbwa nini.....
mateso na kuhangaika mpaka kitandani
We acha tu, na mnavyojua mitego tena usiombe muwe mnashuka garini mkiwa mmevaa vimini kwa kweli ni hatari, mimi kuna dada sikuamisha macho nilikua namuangalia kwa msimamo na nikaona anajua kinachofanya nimwangalie na ndani alikuwa hajatupia kufuli baada ya kushuka huku nikiwa nimemkazia mwenyewe akanisalimia "mambo" nikajibu safi.mitego mkuu... si unajua ukimwambia mtoto usifanye ndo anafanya... sasa nikijifanya ndo nafunika we utataka kufunua hapo nakuwa nimekuwin... that is game hata kama hutaki utataka tu.....
Aaa basi sawa ngoja tuhangaike ndo.maumbile yetu....daah
ndo utafute hela kwa bidiii
We acha tu, na mnavyojua mitego tena usiombe muwe mnashuka garini mkiwa mmevaa vimini kwa kweli ni hatari, mimi kuna dada sikuamisha macho nilikua namuangalia kwa msimamo na nikaona anajua kinachofanya nimwangalie na ndani alikuwa hajatupia kufuli baada ya kushuka huku nikiwa nimemkazia mwenyewe akanisalimia "mambo" nikajibu safi.
Nilisafisha macho bure bila ya gharama yoyote, kwa kweli hii dunia bila ya wanawake ilikuwa haina maana yoyote, kweli raha sana
mitego mkuu... si unajua ukimwambia mtoto usifanye ndo anafanya... sasa nikijifanya ndo nafunika we utataka kufunua hapo nakuwa nimekuwin... that is game hata kama hutaki utataka tu.....
Hivi unadhan ntakapokuja kukufunza matamshi nitakuja hivi hivi lazma njiongeze mtoto wa kichagga najua una high standards....
Aaaa wapi pakiwa wazi kabisa ndo mzuka... mi naangalia tena nakunja sura na machozi kunitoka kuonyesha vile nna hasira napo!kufunika funika ndo kunatamanisha kufunua na kutaka kujua na inaongeza mvuto kwa mtazamaji... lakini ikiwa wazi hapo mbona hutaangalia kabisa..... mwanamke mitego babu eee loh
Cha ajabu kavaa kimini vimiguu vyenyewe vyembamba kama spoku za baiskeli.
haya we njoo na boda boda au bajaji uone kama utanifundisha nitakwambia naomba ninunulie bia nikishalewa naanza mipasho utajuta kuwa mwalimu