Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,376
Nimegundua kufanya biashara hakuhitaji uwe na mtaji wa mamilioni.
Vijana wengi Leo wasomi na wasio wasomi wako vijiweni hawana KAZI za kuajiriwa, KAZI hamna na hakuna dalili za kuonekana kwa nafasi za kazi.
Vijana wakaa kijiweni wakinywa viroba na kubet.
Pesa wanayotumia kwa siku kwa starehe hizo zingeweza kuanzisha kabiashara kadogo kabisa.
Heri kuwa na biashara ndogo sana inayokupatia faida ya shilingi elfu MOJA kwa siku kuliko hela yako ndogo kuipoteza kwenye viroba na kubet.
Vijana wamebeba Ndoto za kupata majimama wa kuwalea, Hili ndio wazo Kuu.
Tubadilike.