Acha longo longo we sema una shilingi ngapi..

Hela ninazokupa za twisheni kumbe unamalizia huko,mwone!
Kopi: gfsonwin.........mrekebishe manoah tabia

dah! Bishanga huyu mtoto si muwezi khaa!! manoah mwanangu, kweli umefikia hapa kweli wewe uliyenyonya matiti yangu, ukakaa viunoni mwangu hadi baba yako alpokuhamishia tumboni miezi 9??

ama kweli heri tumbo lisilozaa, na heri matiti yasiyonyonywa. sikulaani ila umeniliza mwanangu. na ugumu wa kazi zako na risk ya kazi yakobado tu unataman kwenda kuhonga mwanamke??

unakumbuka siku ile pale nyumban mbele ya wadogo zako nilikwambia nini?? pse naomba wkend hii uje home niko siriaz kabisa.
 
Last edited by a moderator:
::
Ha ha ha Na wewe mwambie "acha longolongo nilikua natania"
=
 
samahani mama yangu kwa kuuzi na kuishi kinyume na maadili mema. Sitofanya ivyo tena mama, nitakuja jumapili Kesho naenda kazini.
Samahani mama naomba unisamehe.
I love you mama!
 
Last edited by a moderator:
::
Ha ha ha Na wewe mwambie "acha longolongo nilikua natania"
=
Ahahahahahah..nshaambiwa nimefulia mimi.Bahili yangu sabuni.Wacha niwaachie akina pedeshee manoah wafanye kazi yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…