We fala usinizoee umeshindwa ustaarabu sio tunaaribiana biashara nitatipoti hili kwa Melo mwenyewe maana nisikutukane nikapigwa ban nikaaribu biashara yangu.Akipigwa mtu asije kulalamika. Huyu ni tapeli,hana lolote!
Naludia tena hili na Mala ya mwisho namba yako ya simu ninayo nitaenda kukuripoti porisi wewe na mwenzio kwa mambo unayoniretea.Akipigwa mtu asije kulalamika. Huyu ni tapeli,hana lolote!
Kajifunze kwanza Kiswahili ndo ukaripoti huko Polisi. No zangu ni kweli unazo kwa sababu mimi nilikuwa nataka Pc kwel ...kulingana na tangazo lako. Lakin baadae nkagundua unazingua.Naludia tena hili na Mala ya mwisho namba yako ya simu ninayo nitaenda kukuripoti porisi wewe na mwenzio kwa mambo unayoniretea.
Hii mala ya mwisho natoa naeleza kabisa jamaa.
Hii Mala ya mwisho tutafikishana pabaya jamaa wenichukulie poa, nakusisitiza bro, nilishatumia utu na njia zote za hekima bado unaniona kama mjinga.Report tu mkuu...thibitisha kuwa wewe si tapeli,jana nmeangaika kupoteza muda,mtu anatoka kibaigwa kuja mjini...ili aje UDOM kufuata laptop... unapigiwa simu mara unakata...mara useme ngoja ukaangalie dukan...wakati huo huku Forums unasema mzigo unao...ndo nn? Mtu anapoteza muda,vocha kumbe ni ujinga...unatengeneza loopholes za kuwapiga watu