Accounts assitant

Accounts assitant

Mti majungu

Member
Joined
May 19, 2015
Posts
56
Reaction score
79
Mimi nina astashahada ya uhasibu naomba kazi kokote ya Accounts Assistant ,mimi ni mwaminifu,mchapakazi na mbunifu .please kwa yeyote anaeweza kunipa kazi nitashukuru na mungu atamjalia...shukrani.
 
Umejuaje kuwa wewe ni Muaminifu?
 
Mimi nina astashahada ya uhasibu naomba kazi kokote ya Accounts Assistant ,mimi ni mwaminifu,mchapakazi na mbunifu .please kwa yeyote anaeweza kunipa kazi nitashukuru na mungu atamjalia...shukrani.

Kama bado haujapata kazi nicheck PM tuyajenge
 
Mimi nina astashahada ya uhasibu naomba kazi kokote ya Accounts Assistant ,mimi ni mwaminifu,mchapakazi na mbunifu .please kwa yeyote anaeweza kunipa kazi nitashukuru na mungu atamjalia...shukrani.
Nenda chuon kachukue degree... Alafu upige CPA...
 
Je unafahamu hali yake kiuchumi mkuu mpaka unampa ushauri kama huo kiongozi maana ELIMU ni biashara sikuhizi.
Wala sihitaji kufahamu. Nilichotoa ni ushauri nimetoa hasa kwa kulingana na huu uchumi wa viwanda na upatikanaji wa ajira kwa kozi yake.
 
Sawa boss ila uchumi wa viwanda unahitaji mahela ili kufikia hizo level.
 
Nenda chuon kachukue degree... Alafu upige CPA...

Kuna degree za kutosha za uhasibu mtaani, degree za uhasibu na Community Development ndio zinaongoza kuwa na wahitimu wengi wasio na ajira mtaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom