Salaam wakuu..!
poleni na majukumu ya kazi, samahani naomba kujua gharama za kutengeneza/kutengenezewa accounting software kwa ajili oganizesheni ni shilingi ngapi..?
Nina oganizisheni yangu nataka kuwa na hii software kwa matumizi ya ofisi, kama upo interested tafadhali unaweza kuweka hapa gharama au PM ila ingependeza zaidi ikiwa hapa kwa sababu inawezekana kuna wengine wanauhitaji kama mimi.
NB; Ni kwa ajili ya taasisi, hivyo ukitaja bei tafadhali weka full packages (contents ya hivyo software)
Ahsanteni