Nahitaji Accounting Package kama Tally au QuickBook
Mkuu unapatikana wapi?Iko vision ambayo local companies zinatumia kwa sasa kwan we can customize it kwa hali utakayo kwani imekuwa developed hapa hapa tz, njoo kwa pm
Mbezi africana, nchek kwa pm kama wataka maelezo zaidiMkuu unapatikana wapi?
Mbezi africana, nchek kwa pm kama wataka maelezo zaidi
Iko vision ambayo local companies zinatumia kwa sasa kwan we can customize it kwa hali utakayo kwani imekuwa developed hapa hapa tz, njoo kwa pm
Pm...pm...pm...pm!!! Hii nchi ngumu hiiIpo tally erp . . Njoo pm tuongee !!