Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 518
- 3,193
kuna mademu wataliwa papuchi alafu jamaa atapita hivi ...Kazi hiyo imekaa kijinsia zaidi.
Acheni kukatisha tamaa, fursa hiyo kwa wadada wasio na mchongo mjini.
Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Accountant wa Kike. Awe na Degree na awe amemaliza chuo Mwaka Jana. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wiki ijayo kwa Usahili. Ahsante sana.
Kwa wachina ataambulia patupu Mwaka juzi niliwaonya sana waliponipa makaratasi fulani kuwaombea jambo fulani sehemu! Kwenye ishu hiyo ilibidi ni crosschek na waajiriwa aiseeee hatari
Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Accountant wa Kike. Awe na Degree na awe amemaliza chuo Mwaka Jana. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wiki ijayo kwa Usahili. Ahsante sana.
We tuma tu. Atatizama yeye achukue yupi aache yupi 😅Tayar umepata au nitume namm [emoji1787]