Account yangu ya WhatsApp imefungwa msaada jamani

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,128
Nimeamka asubuhi nataka kuingia WhatsApp wananiambia your WhatsApp number is banned from using watsap.

Naombeni msaada namna yakuifungua saizi maana ninafanya upatu namm ndoninaechezesha MCHEZO kwa watsap
 
Wasiliana na huduma ya wateja kupitia email, watakufungulia baada ya masaa 24 au 48
 
Watu wa android kama wajinga muda mwingine sasa hizo whatsapp za ajabu zina faida gani?
 
Watu wa android kama wajinga muda mwingine sasa hizo whatsapp za ajabu zina faida gani?
Unatumia Whatsapp mbili kulingana moja ni ya biashara nyingn private unakuwa na whatsapp official ila biashara ndo hizo mods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…