Account yangu ya Instagram,

labda waliona mtu mmoja acc nyingi wakaamua kufunga ile ambayo haina faida
 
labda waliona mtu mmoja acc nyingi wakaamua kufunga ile ambayo haina faida
hawawezi funga sababu wakiangalia user feed inaonyesha anaingiaa analike picha, ana watch video hawafungagi hivi hivi ...my facebook account ilikaaa 6+years bila kufunguliwa ...nilivyorudi nikaikuta safe and clean

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…