nmejaribu kuangalia,na nmelog in kwa account nyingine imekubali lakini io account yangu imegoma kabisaIshu hapo ni network tu. Check network yako
[emoji23][emoji23]tayari iyo.... Kama ulikua umei connect na email yako utakua Ume tumiwa ujumbe kuhusu changes zote
hakuna email yoyote ilioingia kuhusu changes zozote,[emoji23][emoji23]tayari iyo.... Kama ulikua umei connect na email yako utakua Ume tumiwa ujumbe kuhusu changes zote
Sent using Jamii Forums mobile app
ile unajiunga kupitia Facebook,
basi kwa ajili hiyo hata 2 step verification ulikuwa hujaweka .....watakuwa walianza na facebook account ndo wakakutana na bonus ya instaile unajiunga kupitia Facebook,
nakumbuka nilitumia io sidhani kama niliwahi kubadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
kwaio ina maana kua account yangu haipo tena?basi kwa ajili hiyo hata 2 step verification ulikuwa hujaweka .....watakuwa walianza na facebook account ndo wakakutana na bonus ya insta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna,ata nilikua siitumii sana vile naingia kuona nn kimetokea basi
basi sio mbaya nikadhani wale wenzetu wa 20k ...Hamna,ata nilikua siitumii sana vile naingia kuona nn kimetokea basi
post zangu ata 20 hazifiki
sad
Sent using Jamii Forums mobile app