Account mkombozi bank

Account mkombozi bank

deezekiels

Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
42
Reaction score
3
Naomba kujua taratibu za kufungua account ya kikundi mkombozi bank au bank yeyote yenye masharti nafuu
 
Naomba kujua taratibu za kufungua account ya kikundi mkombozi bank au bank yeyote yenye masharti nafuu

Kwa Mkombozi Bank uwe na vitu vifuatavyo:
1. Usajili wa kikundi
2. Muhtasari wa kikundi au barua inayoonyesha azimio la wanakikundi kufungua akaunti
3. Picha za signatories
4. Barua ya mtaa kilipo kikundi
5. Pesa ya kianzio
 
Otherwise fika ofisini kwao pale zamani Cathedral bookshop town city centre karibu na St Joseph Church.
 
Back
Top Bottom