Nina uwezo wa kukuza acc yako ya mwanzo kwa gharama ya elf 50 tuu kwa mwezi.
Faida utakazozipata,
-account yako itakuzwa kutokana na mahitaji yako, kama unauza nguo basi italenga wateja wa nguo
-followers wako watakuwa wanafahamu account inahusiana na nini hivyo kuongeza kipato
-utapata followers ambao watakuwa n specific demographic, maana wale ambao wanauhitaji na bidhaa zako
-followers wako watakuwa ni watu halisi, sio account ambazo zinaendeshwa kwa computer
-itatumika njia halali ya kuongeza followers wako, hivyo kuondoa adha ya kufungiwa acvount yako.
-kila mwezi utapata followers wasiopungua elfu kumi (10k) watakaokua na faida ukilinganisha
na account za kununua moja kwa moja
-utapata msaada haraka sana kwa masaa 24(mda wowote) endapo kutakuwa na tatizo lolote kiufundi.
-malipo ni kila mwanzo wa mwezi tokea account itengenezwe na unauwezo wa kusitisha na kubaki na account yako.
Unakaribishwa pm