911 Platinum Member Aug 22, 2008 852 499 Sep 19, 2010 #42 I suggest you people to go get the ucweb browser.Iko poa sana,far better than opera thing.
Gaijin JF-Expert Member Aug 21, 2007 11,812 5,289 Sep 19, 2010 #43 muonekano wa JF kwenye Tapatalk for smartphones ni mzuri na easy to use, ingekuwa raha sana kama muonekano wa JF kwa simu kwa browser ya kawaida unalingana na huo.
muonekano wa JF kwenye Tapatalk for smartphones ni mzuri na easy to use, ingekuwa raha sana kama muonekano wa JF kwa simu kwa browser ya kawaida unalingana na huo.
Nchi Kavu JF-Expert Member Sep 11, 2010 4,271 2,401 Sep 19, 2010 #44 Sasa kurudi kwenye mobile mode inakuwaje
muonamambo JF-Expert Member Sep 3, 2010 875 545 Sep 21, 2010 #45 thanks.,but i cant post picture through my phone.
J JOAKIM GODSON New Member Sep 22, 2013 2 2 Sep 26, 2013 #47 Itakuwa vizuri tukipata JF version kwenye smartphones tena inayo load faster