Access Bank wametoa majina ya Relationship Officers?

Access Bank wametoa majina ya Relationship Officers?

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,949
Reaction score
4,423
Ni zaidi ya mwezi sasa tokea Access Bank Tanzania watangaze ajira za Relationship Officers. Kuna ambaye anajua nini kinaendelea atujuze?
 
Access Bank wzinguaji sitawasahau, mwaka 2017 nilifanya interview ya sales i remember siku ya kwnza kwenda nilitaka kuishia mlangoni maana tulikuwa weng mno kama 200 so tukafanya written interview then nikapita, ya pili ilikuwa group interview then wakachuja nikapita na ya mwisho ilikuwa oral interview tulifanya watu 20 tu so kazi nilikuwa naiona ya kwangu maana walitaka watu kama 5 kwa branch zao tofauti so tukasubir majib hadi leo hakuna alieitwa among ya wale tuliofanya oral interview tukajakusikia hawakuajiri kwakuwa walifanya retrenchment.

Pili Access Bank salary zao sio nzur ndo maana kila siku watu wana reign but its among of the bank ambayo wana train wafanyakazi wao vizur so ukitoka hapo unakuwa vzur maana hata interview zao zilikuwa ni balaa.
 
Back
Top Bottom