Access Bank Mwanza Interview Accomodation Cost


siyo mbali njomba nauli 400tshs ni km dk 20 au 30,we njo mi ntakupokea kiongozi
 

njoo mza afu nitafute nkupe accomodation ya siku tatu au nne ila msosi utajitegemea. karbu san kiongozi
 
Nauli ni 40000-42000
Chimba ni kuanzia 10000-15000
Chakula ukijibana unaweza ukapata Chai 500 chakula 1500
 
MIMI nakaa mwanza utakula bure na kulaa bure njoo hufanye interview nauli yako tuu
 
Jaribu bahati yako, lakini ujue gharama si ndogo pia. Kiasi cha chini kabisa unachotakiwa uwe nacho si chini ya 300,000/= ili uweze kuishi kikawaida sana. Hawa Access bank waliita interview Tabora hivi karibu na waliofanya walikuwa 45, wakachukuliwa 40. Hivyo huwezi jua bahati yako. Wanangu wawili wameitwa pia ila nimewaomba waisamehe bure kwa ajili ya gharama.
 
Yani mi mwenyewe Mkuu nimeisamehe tu nikiangalia izo gharama naona ni juu ya uwezo wangu na kupata ni 50 kwa 50
 
Mliotuma application hamkujua hilo? Sometymes tunajikosesha nafasi sisi wenyewe kama ni mara yako ya kwanza kuomba acess ni rahis kuelewa lakin kama ulishawahi kuomba ntakushangaa
 
Mliotuma application hamkujua hilo? Sometymes tunajikosesha nafasi sisi wenyewe kama ni mara yako ya kwanza kuomba acess ni rahis kuelewa lakin kama ulishawahi kuomba ntakushangaa
Kwa upande wangu sikujua kama process iko ivo sababu ni mara ya kwanza nilijua nimetuma maombi dar na interview itakuwa dar so lilipokuja suala la mwanza niliishiwa na poozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…